LEMA Alishawaandaa Watoto Wake Kisaikolojia - Mkewe Afunguka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Neema Lema, mke wa Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema, amesema yeye na watoto wake hawajutii kutokuwa na mwanasiasa huyo ambaye yuko mahabusu kwa kuwa anapigania haki ya kidemokrasia.


Lema, ambaye alikamatwa Novemba 2 mjini Dodoma, hatakuwa pamoja na familia yake msimu huu wa sikukuu baada ya Mahakama Kuu kutupa hoja zake za kupinga kunyimwa dhamana katika kesi inayomkabili ya kutoa maneno ya uchochezi dhidi ya Rais John Magufuli. Mbunge huyo atakaa mahabusu hadi Januari.

“Mimi na hata watoto wangu, hatusikitiki kumkosa Lema ambaye yupo mahabusu. Tungejisikia vibaya sana kama Lema angekuwa mahabusu kwa kesi kama ya wizi au makosa mengine ya jinai,” alisema Neema

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. No way out lazima ujipe moyo kimtindo lakini kama mwanamke na unae mpenda mumeo lazimabuna go through hell my dear.

    ReplyDelete
  2. "Neema Lema, mke wa Mbunge wa Arusha mjini, Godbless Lema, amesema yeye na watoto wake hawajutii kutokuwa na mwanasiasa huyo ambaye yuko mahabusu kwa kuwa anapigania haki ya kidemokrasia."..............."Anapigania haki ya Kidemokrasia"............Tena haki yenyewe ya kidemokrasia ni kwa kuwatukana watawala wa Serikali duh!!!..........Kama Demokrasia yenyewe inatafutwa kwa style hiyo basi ni mwishoooooo......

    ReplyDelete
  3. “Mimi na hata watoto wangu, hatusikitiki kumkosa Lema ambaye yupo mahabusu."......Duh!!!......Hahahahahahahahahahahaha aaaaaaaahhhhhh kaaaazi kwelikweli...#HAPAKAZITU

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mbona mnapanick jamani taratibu basi....ilikuwa amemtukana mkuu wa mkoa tena amemtukana rais is it true!!

      Delete

Top Post Ad