BREAKING News ; Boniface Mkwasa sio kocha tena wa Taifa Stars

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kocha mzawa ambae ameiongoza timu ya taifa kwa muda mrefu Chalres Boniface Mkwassa, sasa hivi sio tena kocha wa timu yetu ya taifa.

Taarifa hivi zimethibitishwa na rais wa TFF ndugu Jamal Malinzi kupitia ukurasa wa twitter. Jamal Malinzi ametoa taarifa hiyo kwa kuandika,“Mkataba wa TFF na Kocha Mkwassa,kwa makubaliano,umefikia mwisho leo.Salum Mayanga ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa muda wa Taifa Stars.”.



Ikumbukwe kamba kocha huyu alichukua mikoba kutoka kwa kocha Mart Nooij raia wa Uholanzi ambae alifundisha tangu mwaka 2014 hadi 2015. 

Endelea kufatilia shaffih dauda website utajua zaidi kuhusu kusitishwa kwa mkataba huu na sababu zake kama zitawekwa wazi na moja kati ya pande hizi mbili
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Huyu Bwana mbona alitakiwa awe amefukuzwa hicho kibarua siku nyingi sana. Sijui ni nani aliyekuwa anamlinda hapo licha ya timu ya taifa kufanya vibaya katika kila mashindano. Alikuwa analindwa huyo kama ilivyokuwa adha ya kulindanalindana kwa watanzania.

    ReplyDelete

Top Post Ad