DIAMOND Atikisa Australia....Wimbo Wake Wavunja Rekodi ya Mwaka

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Diamond Platnumz haishi kutuamsha na habari kubwa zinazohusiana na nyimbo zake.


Siku moja baada ya DW kuitaja ngoma aliyoshirikishwa na marehemu Papa Wemba, Chacun Pour Soi kuwa imefunga mwaka kwa kuwa namba moja katika Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo, Kidogoaliyowashirikisha P-Square nayo imefunga mwaka kwa kishindo.


Wimbo huo umekuwa wimbo wa mwaka katika kituo cha redio cha Radio Afro cha Australia, baada ya kuzishinda nyimbo za magwiji wengi wa Afrika wakiwemo Wizkid, Davido, Tiwa Savage na wengine kibao.


Diamond ameshukuru kwa nafasi hiyo kwa kusema, “Thank you AUSTRALIA thank you RADIO AFRO…. KIDOGO ft P -SQUARE Song of the Year #RADIOAFRO
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad