Hivi zile Zaidi ya Millioni Mia Tano za yule Mshindi wa Big Brother zimeyeyuka?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Wakati huu wa maisha magumu na pesa imekuwa ngumu kupatikana,
Nikawaza zile millioni mia tano za yule aliyekuwa mshindi wa shindano la Big brother Afrika, bwana Idriss Sultan ni kwamba ametumbua zile pesa zote zimeisha na kubaki kapuku bila ya kuwa na uwekezaji wowote mpaka sasa kubaki mweupe na kushiwa kabisa?

Maana nusu billioni navyofikiria mimi kama ningeipata wakati huo nafikiri rafiki zangu wangekuwa Magufuli au Kikwete labda ningekuwa level hizo za maisha kwa mafanikio.

Sasa ni kweli huyu jamaaa kafirisika kabisa bila kuwa hata na uwekezaji?

By Tomahawk/JF

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi wewe Mwandishi wa hiyo Habari mbona unakuwa kama una Kichaaa???? Umeuliza swali lakini kwa jinsi ulivyotoa maelezo yako ni kama unatupatia taarifa za kuwa huyo jamaaa amekwisha maneno yake.

    ReplyDelete
  2. MALIMBUKENI NI WENGI NCHINI AMBAO HAWAJUI MATUMIZI YA PESA, WALA HAWAJUI UWEKEZAJI MAANA YAKE NININI. INABIDI WEINGI WAJIFUNZE KUTOKA KWA DIMOND. NA KAMA HUYU KIJANA KAFIRISIKA, BASI ATAKUWA MMOJA WA MALIMBUKENI BONGO!

    ReplyDelete
  3. Ni ngumu sana,kumpangia mtu mzima,matumizi ya pesa alizochuma kwa jasho lake!ingawa unaweza kumshauri,either aukubali au aukatae ushauri wako.

    ReplyDelete

Top Post Ad