MAPENZI ya Jeniffer Lopez na Drake Yazidi..Lopez Akataa Mwaliko na Kumfuata Drake Las Vegas

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Drama ya Drake na Jennifer Lopez imezidi kuendelea wikiendi hii.

Wawili hao wamezidi kuibua maswali juu ya mahusiano yao baada Jennifer kusitisha kuhudhuria kwenye tamasha aliloalikwa la NEW YEAR’S EVE mjini Miami na badala yake alikwenda Las Vegas kwenye show ya Drake aliyokuwa akitumbuiza kwenye ukumbi wa Hakkasan nightclub.

Chanzo kimoja kimeuambia mtandao wa Us Weekly, “Jennifer watched and had the best time at Drake’s show.”

Ni wiki ya pili sasa wawili hao wamekuwa wakihusishwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi japo hakuna aliyethibitisha kati yao huku wakionekana kushirikiana kwenye wimbo wao mpya.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. mitandao ya kimarekani imeshaandika kuwa hao wanatafuta kiki kuwa hamna kitu hapo bali wanatafuta kiki kwani albam Yao ya pamoja iko njiani

    ReplyDelete

Top Post Ad