Mashabiki Wamgomea Darassa Kuachia Ngoma Mpya

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mziki imekuwa ni ngoma ya kihistoria katika maisha ya Darassa pamoja na Bongo Flava kwa ujumla kwa sasa. Naweza kusema ni ngoma ambayo imeishi muda mrefu na bado inazidi kufanya vizuri.

Haikuwa mategemeo yangu kuona watu watagoma kupokea kazi nyingine kutoka kwa mbabe huyo wa ‘Muziki’ ambaye ametumia ukurasa wake wa Instagram kuuliza kama mashabiki wake wapo tayari kupokea kazi mpya.

“Any new about #muziki before to drop another bullet please?” Darassa ameandika kwenye Instagram.

Hizi ni baadhi ya comments za mashabiki wake kuhusu post hiyo:

luganoh: Class Kwa maana ya soko miezi hii sio mizuri pia MUZIKI bado inafanya vizuri sana subili, endelea kula hela uliyo tengeneza mwaka 2016

runih_ Wahurumiee kidogo hta wapumue pumueee

galasagangijr: Utauwa @darassacmg

mwasandendetaimu: Subiria kidogo mpaka March
benritykev Utaua clax ckilizia kidogo

wema_la_diva: Hatareee we leta tyu

maeza_dam: Acha maneno letee muziki

alikibatz_fans: Noma

djmvungy: Vunga kidogo coz bado muziki ni Wimbo wa Taifa drop new kwny mwez6 hv @darasacmg

samuelnkangala: Usidondoshe kwanza mpaka muziki iishe utamu mwakan

adelicious58: Don’t drop yet muziki is still the talk in two n

tammylians: Hapana subiri tupoe kwanza siavicen Subir baba uwiiiiii muziki bado ni shidaah siuzoei aisee @darassacmg

umbeatz_ Afu wabongo bwana kwaiyo mnataka Darassa atulie adi wimbo wa muziki uchuje? Wimbo wa muziki auchuji leo wala kesho. Darassa angusha lingine

27minjesha: Muziki is still on..subiri kidogo bro..endelea kupiga show kidogo

top_barbie12: Tuleteee mamboooooo

kingkibamusics: @darassacmg vunga kwanz mana #muzik bado inasumbua dunia

Kwa upande wangu nasubiri kwa hamu sana ujio wa ngoma inayofuta baada ya Muziki ambayo mpaka sasa imetazamwa mara 3.6m kwenye mtandao wa Youtube

By Gami Dee
@gamideetz IG
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wewe tu,ukiona mfuko wako unapungua toa kipya,kama shoo bado zinakulipa kausha kwanza.Acha wanaolia na Magufuli waendeleee kulia.

    ReplyDelete

Top Post Ad