Video: Udhalilishaji wa Mwanamke Kuchapwa Viboko Hadharani na Wanaume, Serikali ichukue Hatua

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Nimeiona hii clip ikizunguka mitandaoni.Inamuonyesha mwanamke wa makamo ya kati akitandikwa viboko vya kutosha tu makalioni na wanaume wenye nguvu zao.

Inaonekana ni "adhabu" dhidi ya mwanamama huyu,hata anapotaka kupinga kuchapwa;Wazee wa Kimila wanaamuru vijana waje wamkamate ili atege kalio na achapwe sawasawa.

Lafudhi za wazee hawa inaonekana ni wale wa "Kanda Maalumu".Huu ni ukatiri mkubwa sana dhidi ya akina Mama.Katika zama hizi kumchapa mwanamke viboko,tena vya makalio kwa idadi kubwa,si ni udhalilishaji tu,bali ni unyama na kinyume cha haki za binadamu.

Kuna wizara mtambuka,Kama Wizara ya Mambo ya Ndani ya ndugu yangu Mwigulu Nchemba pia Wizara ya Dada Ummy Mwalimu na Kituo cha Haki za Binadamu cha Madam Hellen Kijo Bisimba.Likemeeni jambo hili na wahusika wachukuliwe hatua na iwe fundisho kwa wengine wenye mila hizi za ajabu ajabu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani kakosa nini?

    ReplyDelete
  2. ndiyo maana wazungu wanawaita waafrica ni mangedere na wana ukweli ebu angalia hiyo mingedere inavyomchapa mrembo wa watu hata kama amekosa nini hakuna mtu anaestahiri kuchapwa namna hiyo tena nawaita hao wanaume wanaomchapa ni mangedere yenye sura mbaya kama Mavi na yakamatwe yakafungwe porini kwenye ngedere ndugu zao!

    ReplyDelete
  3. Hii isiishie kinyemela,hatua kali dhidi ya hawa wanaume ichukuliwe

    ReplyDelete

Top Post Ad