FEZA Kessy 'Napenda Mwanaume Ambaye Havai Skini Jinzi na Ambaye Sio Chips Mayai'

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

HII ikufi kie wewe mpenda burudani na ubuyu wa town! Msanii wa Bongo Fleva, Feza Kessy amepigwa kibuti siku kumi kabla ya kufi kia Sikukuu ya Wapendanao ‘Valentine’s Day’.

Akizungumza na E’bana Dah hivi karibuni ndani ya Ukumbi wa Club Next Door uliopo Masaki jijini Dar, Feza ambaye pia alikuwa mshiriki wa Shindano la Big Brother Africa 2013 ‘The Chase’ alisema, kwa sasa ameamua kupumzika kidogo mpaka moyo utulie.

“Tangu niachwe kabla ya valentine nipo singo sasa hivi kimyakimya na bado nina maumivu labda hapo baadaye,” alisema Feza. Alipobanwa ni mwanaume wa aina gani anampenda alisema:
“Napenda mwanaume ambaye havai skini jinzi, nataka mwanaume apige timba (viatu aina ya mabuti) na tisheti. Siyo mwanaume anakula chipsi mayai. Sitaki awe milionea, pesa kidogo ya kutumia inatosha, kikubwa aniheshimu na asiwe mshamba wa mademu wa kutaka achepuke wakati yupo na mimi.”
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad