Hatariiii..Majaliwa Apigilia Msumari Vita Dawa za Kulevya,Atoa Kauli Nzito kwa Wahusika..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema kuwa hatua kali zitachukuliwa kwa atakayepokea rushwa kutoka kwa wauzaji, wasambazaji na watumiaji wa madawa ya kulevya.

Ameyasema hayo  jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa kikao cha kwanza cha Baraza la Taifa la kudhibiti dawa za kulevya nchini.

“Sheria ya udhibiti wa madawa ya kulevya itumike vizuri, Serikali na Baraza halitahitaji mtu yeyote mwenye mamlaka kupokea rushwa ikigundulika hatua kali zitachukuliwa,” amesema.

Waziri Mkuu alisisitiza kuwa Serikali imedhamiria kuendelea kuimarisha mapambano dhidi ya udhibiti wa dawa za kulevya nchini ambayo yamekuwa yakifanywa na Serikali  zilizotangulia
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad