Idris Sultan Achukizwa na Wanafiki Waliomrekodi Wema Sepetu Bila yeye Kujua Akiwa Selo....Adai Hawajui Wanamuumiza Kiasi Gani

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Braza Meni na Mshindi wa Big Brother ametokwa povu jingi baada ya sauti ya Wema Sepetu kuvuja akiongelea issue ya Madawa ya kulevya na kukamatwa kwao....Sauti hiyo inaonekana ilirekodiwa bila Wema Kujua na kuwekwa mitandaoni...Idriss Ameandika Haya:

"Na muendelee kupiga kelele kutembelea watu central na recording people bila wao kujua. Kwakua tunachukulia maisha ya watu kama mfumo wa likes na following bila kujua tunawaumiza kiasi gani kwa tunachokifanya basi let us proceed na tutaona kama tunaowapenda kama tunavyosema tutakua tumewatendea haki. Kwa hili nimeshindwa kunyamaza, you claim to be friends and true people kumbe unafki unatujaa. We will kill our families and be the 1st to cry kwenye msiba WHERE IS HUMANITY ?  Kama hamjaenda kutoa moral support basi kaeni majumbani kwenu na mposti posti vimachozi na unafki wenu sio kutuchafulia hata pale pasafi padogo palipobaki"
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad