KIMENUKA...Steve Nyerere Atiwa Mbaroni

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Utata umeibuka juu ya kukamatwa kwa msanii wa filamu nchini Steven Mengele a.k.a Steve Nyerere, mara baada ya kuwepo kwa taarifa hizo ambazo zimetolewa ufafanuzi na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Simon Sirro.

Akizungumza jana na wanahabari, Kamishna Sirro alisema yeye hajamuita Steve Nyerere lakini huenda akawa ameitwa na maafisa wake wa upelelezi kwa ajili ya mahojiano, jambo ambalo ni sahihi.

Sirro alisema kuna kikosi maalum alichokipa kazi hiyo na endapo msanii huyo anahojiwa ataweza kuachiwa kama kikosi hicho kitajiridhisha kuwa anastahili dhamana, lakini kama kitaona bado kinamuhitaji, kitaendelea kumshikilia.

Msanii huyo ameingia kwenye 'headline' hasa mitandaoni baada ya kusambaa kwa sauti zinazodaiwa kuwa ni mazungumzo kati yake na Mama wa Msanii Wema Sepetu, kuhusu sakata la dawa za kulevya linalomkabili Wema Sepetu.

Katika hatua nyingine, Mwenyenyiki wa CHADEMA, Freeman Mbowe alifika katika kituo hicho kikuu cha polisi Dar es Salaam, na kisha kupandishwa kwenye gari ya polisi na kupelekwa kusikojulikana.

Kamishna Sirro alipoulizwa kuhusiana na kinachoendelea kwa mwenyekiti huyo, alisema kuwa jeshi hilo lina mamlaka ya kumuita Mbowe wakati wowote kwa ajili ya mahojiano.

Msikilize hapa akifafanua baada ya kuulizwa maswali na waandishi wa habari


----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. yaaaan Tanzania ni nchi ya Kisenge kweliii,yaaan watu wanaonewa bila sababu yeyotee!!!jeshi la polisi linaendeshwa tuu badala ya wao kuwaendesha viongozii...mxiuuuu mamburula hawaa,lol...yaan atakayempigia magufuli kura 2020 ni msenge kabisaaa...nyambafuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Anony 11:03 AM Wewe ndo senge usitukane kama umezaliwa kutokea ma..............oni Nchi bila sheria itakuwa sawa na jeneza ukifuata sheria hakuna atakaye kugusa uibe uuze unga utizamwe tuu unaishi ktk dunia gani wewe haijulikani hata unachotetea nini msenge aliyekosa bwana wakukushughulikia nini

      Delete
  2. Kamanda Siro upo vizuri sana you gain reputation and respect even out side Tanzania sasa ina ng'ara kumbe nchi ilichelewa sana kupata raisi kama Magu ushikaji bye bye

    ReplyDelete
  3. hata babaako mbona msenge kitambo tuuuuuuuuuuuuu

    ReplyDelete

Top Post Ad