MARTIN Kadinda afunguka Kinachomponza Wema Sepetu

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA



MWANAMITINDO Martin Kadinda, amefunguka kuwa kinachomponza Wema hadi ajikute anaingia kwenye misala mbalimbali ya kipolisi ni watu wanaomzunguka.

Kadinda ambaye pia ni meneja wa msanii huyo, alisema ili Wema aweze kufanikiwa maishani, hana budi kuwaweka pembeni baadhi ya marafi ki ambao wana tabia chafu kwani mara nyingi wamekuwa wakimsababishia matatizo mbele ya jamii.

“Siwezi kuwataja majini lakini Wema mwenyewe naamini anawajua marafi ki zake ambao si wazuri, wanaomwingiza kwenye majanga mara kwa mara, ni vyema akaachana nao ili ‘kumaintain’ heshima ya jina lake,” alisema Kadinda
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hebu atupishe na yeye. Khaaa. Tangu lini Wema akawa na heshima? Kazi yake kubwa kuvunja ndoa na mahusiano ya watu.Ku fake mimba. Kulewa onyo. Bangi ndio mwake. Kuongeza makalio yaliyogeuka manundu kisa ana m copy Kim Kardashian. Kuongea kiswahili kwa accent wakati tangu azaliwe tuko nae hapa hapa kwa bimkubwa. Kuiba Luku.Kuiba maji DAWASCO. Previous convictions ndio mwake mara kapiga waiter mara katukana. Mkorogo ulioishia michirizi kaa punda milia. Kama hayo ni misingi ya 'heshima'basi huyu demu ana heshima sana. hahahahahahha

    ReplyDelete

Top Post Ad