Paul Makonda Adai Kuna Watu 12 Walikuwa Wamepanga Njama za Kumtupia Majini...

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mkuu wa mkoa wa Dar, Paul Makonda amesema katika vita ya watu wanaojihusisha na dawa za kulevya, kuna waumini 12 walikuwa wamepanga njama za kutaka kumtupia majini lakini hawajafanikiwa kutokana na maombi ya viongozi wa dini.

Amedai waumini hao waliandaa mbuzi mweupe ili kumtoa kafara na aliwatambua kupitia mtandao wake.

Makonda amesema haamini kama waliofanya hivyo walikuwa ni Waislamu, bali kundi la watu waliokuwa wamevaa kanzu kwa utambulisho huo na kwamba huenda walitumika kuwalia watu fedha zao.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu kweli hana cheti cha form 4. wala cha darasa la 7.

    ReplyDelete
  2. anaanza kuchanganyikiwa kwa Albadiri ya Gwajima. Prakataaaaa Sundukuuuuuuuu!

    ReplyDelete
  3. kwahiyo na yeye kashakuwa mgan`ga anawajua wachawi. mbona bado ndo kwanza anaanza kujikoroga. tulia boss utaona mengi tuu. na walivokukania pole.

    ReplyDelete
  4. na hawa mashehe ni wajinga hizo dua hazifiki hata juu ya kichwa chake wacheni ujinga na kutukanisha uislamu kweli huyo ni wakuombewa hata dua za kanisani hazimfiki

    ReplyDelete
  5. hahahaaa tulia boss wewe endelea kutatuliwa marindaa tuuu,mdomo umeshakuregea kwa uhanisi nyokooo weeeee!!!! huna hata haya unaona usenge ni diliii??? huyu makonda hana hata haya na vyeti vyake feki...mxiuuuu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unajifanya bingwa wa matusi huku unaficha jina lako CHOKO WEE

      Delete
  6. YAANI MTU MMOJA UNA-COMMENT MARA NYINGI ILI TUELEWEJE SASA KWA MFANO?
    WATANZANIA HATUSHIKIWI AKILI TENA.TUSHAKUJUA,MBEGESIIIIIIIIIIIIIIIIIIII

    ReplyDelete

Top Post Ad