Baada ya Wema Sepetu Kuhamia Chadema… Hii ni Kauli ya Lulu Kujiunga na Siasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


ELIZABETH Michael ‘Lulu’ amefunguka kuwa anajivunia uamuzi wake wa kutojihusisha na siasa maana amepata amani ya moyo kuliko wasanii wenzake ambao kwa sasa  wapo kwenye malumbano ya kisiasa.

Mrembo huyo ambaye ni mkali wa sinema za Kibongo, alisema, wakati wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu Mwaka 2015, watu wengi walikuwa walikuwa hawamuelewi lakini ukweli ni kwamba aliliona hili ambalo linatokea kwa sasa ambapo wasanii wanaumbuana, wanasemana na kuwagawa mashabiki.

“Unajua watu wengi walikuwa hawanielewi kwa nini sipendi siasa na ninajua wazi wengi waliniona labda mimi naringa sitaki kujumuika na wezangu lakini siyo hivyo nilijua nini kinaweza kutokea mbeleni kama ilivyo sasa,” alisema Lulu kufafanua anazungumzia malumbano yapi hasa.

Hivi karibuni, Muigizaji Wema Sepetu alitangaza kujitoa CCM na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ambapo alitupa dongo  kwa CCM kwa kusema anawadai hela za kampeni hali ambayo iliwaibua wasanii wenzake, kumpinga vikali kwa maelezo kuwa walilipwa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lulu Umependeza Mdada...!! Hicho ni Kitenge cha wapi? Mashaalah!!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad