Idris Sultan afunguka kuhusu mahusiano yake na Wema kwa sasa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Idris Sultan amedai kuwa hana uadui na ex wake Wema Sepetu – bado kwa mbali wana ushkaji.

Mchekeshaji na mtangazaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa huzungumza na ex wake huyo mara chache kwa sasa.

“Unajua sipendi unafiki nikasema ‘ahh tunaongeaga, mbona washkaji tu tuko peace sana’ hapana sio kihivyo,” amesema Idris. “Unakuta ni mara moja moja tu, unakuta hebu leo kuna ka mada fulani mmoja kaamua tu kaposti kitu fulani, mmoja kaamua aamshie humo kwahiyo unakuta na mimi ngoja niongee, kwahiyo sio maaadui, ninachoweza kusema sio maadui.”

Idris na Wema walikuwa na uhusiano maarufu ambao ulikuwa ukivunjika na kurejea tena mara kwa mara
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad