Jacqueline Wolper: Imetosha Sasa, Acheni Kumtukana Makonda

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Muigizaji wa filamu nchini, Jacqueline Wolper amemkingia kifua mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, akiwataka watu kuacha kumwandama kwa kashfa yake ya kufoji vyeti pamoja na kumtukana mtandaoni.

Kwa wiki kadhaa sasa, Makonda amekuwa akiandamwa mtandaoni kutokana na tuhuma kuwa jina analotumia si lake, na kwamba lake ni Daudi Bashite. Jumapili hii kumesambaa video mtandaoni ikimuonesha mkuu huyo wa mkoa akilia kwa uchungu kanisani baada ya kuzungumza na mchungaji akimbembeleza.

“Nimevaa kiatu chake kimenibana mpaka kinataka kunipasua kisigino,” ameandika Wolper kwenye Instagram.

“Jamani wa Tanzania tuwe na utu, acheni kumtukana huyu kaka daaaah hivi ni nani ambae yupo perfect mpk aanze kumtukana kaka wa watu jmn. Nimepost nikiwa km binadam wa kawaida ambae nina moyo!muhurumieni kaka watu acheni Mungu awe muhukumu basi,” ameongeza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jacqueline hata miye niko upade wako, yani sasa hivi kuna watu wameifanya big issue kana la kuzungumza isipo kuwa Makond. kila binadam anakosea asiye kosea ni mungu tuu.

    ReplyDelete

Top Post Ad