Kimenukaa Cuf..Prof Lipumba Ampa 'Makavu Live' Maalim Seif ...!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


 Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemshutumu Katibu Mkuu, Maalim Seif Sharif Hamad kwamba anawatisha wajumbe wa ngazi mbalimbali za chama hicho.

“Kwa muda mrefu tangu Septemba 23, 2016 nimekuwa natoa wito kwa katibu mkuu aje ofisini Buguruni nimpe maelekezo ya ujenzi wa chama chetu. Nimemuandikia memo na kumtumia barua pepe lakini mpaka leo hajafika licha ya kuwa makazi yake yako Mtaa wa Sharif Shamba, Wilaya ya Ilala jirani na ofisi kuu, Buguruni.

 “Hivi sasa na mimi nimebaini wazi kuwa katibu mkuu hana nia ya kujenga CUF imara Tanzania Bara. Vitendo vyake ni mwendelezo wa imani na dhamira yake ya kuwapo kwa Muungano wa mkataba kama alivyotoa maoni yake binafsi kwenye Tume ya Jaji Warioba,” amesema Profesa Lipumba.

Mgogoro katika chama hicho ulishika kasi mwishoni mwa mwaka jana baada ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa kumtambua Profesa Lipumba kama Mwenyekiti halali wa CUF, wakati alishatangaza kujiuzulu nafasi yake kabla ya Uchaguzi Mkuu wa 2015 jambo lililosababisha kukigawa katika makundi mawili.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ni wazee lakini mko kwenye kuharibu zaidi,Sio Lipumba wala Maalim seif.CUF ilikuwa na nguvu kuliko CHADEMA,sasa hivi hamueleki,mnapuunguza nguvu za upinzani.

    ReplyDelete

Top Post Ad