Moi kuwatimua 45 waliokutwa na vyeti feki

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Kitengo cha Tiba na Mifupa (Moi), Dk Othman Kiloloma amesema kipo katika mchakato wa kupunguza wafanyakazi 45 waliokutwa na vyeti feki.

Akizungumza mbele ya Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii iliyofika hospitali hapo jana, Dk Kiloloma alisema pia taasisi hiyo ina upungufu wa fedha kutokana na Serikali kushindwa kutoa zuruku ya Sh4.8 bilioni zilikuwa zitolewe kwa mwaka wa 2016/17.

Alisema kutokana na tatizo hilo imekuwa vigumu kwao kujiendesha kwani kitengo kinatumia Sh20.6 bilioni kwa mwaka kwa ajili ya kununulia vifaa vya tiba pekee, wakati huo asilimia 70 ya wagonjwa wakitibiwa kwa msamaha.

Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Lawrence Museru alisema MNH iliidhinishwa kupewa Sh4 bilioni kwa ajili ya utekelezaji wa majukumu mbalimbali lakini mpaka sasa haijapokea fedha hizo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad