Riyama Ally Amuwashia Moto Mwizi wa Akaunti za Mastaa Huko Instagram..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Staa wa filamu Nchini Riyama Ally, amewafungukia na kuwashambulia wezi wa mtandaoni wanaofanya hivyo kwa kutumia akaunti za watu maarufu.

Riyama amedai wezi hao wameichukua akaunti  ya mumewe na kufuta picha zote kisha kutangaza kuiuza kwa Sh. 70,000.


Aidha Riyama ameeleza kuwa mwizi huyo ameshapatikana na watamchukulia hatua za kisheria ili liwe fundisho kwa wezi na matapeli wengine wa mtandaoni.

Muigizaji huyo mahiri wa filamu ambaye ni mama wa mtoto mmoja, yupo katika list ya wasanii wachache wa filamu waliofunga ndoa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad