Steve Nyerere: Sauti ya Mama Wema Sepetu Ilitaka Kunisababishia Kifo Kwa Presha

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

MCHEKESHAJI maarufu Bongo, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amefunguka kuwa, kama si  ujasiri wa kiume, sauti iliyovujishwa na mama wa mwigizaji Wema Sepetu, Miriam, akisikika akiwataja baadhi ya viongozi kushirikiana naye ili kumsaidia Wema atoke sero, ingemsababishia kifo kwa presha.

Nyerere alisema suala hilo limshtua kiasi ambacho aliona dunia yote itamlaumu yeye hivyo anamshukuru Mungu alisimama kama mwanaume na kufafanua ukweli wa jambo lenyewe.

“Unajua yale yalikuwa mazungumzo ya kumtoa njiani mama Wema, nikawaweka hadi waheshimiwa mawaziri mle ndani ili tu kumpoza yule mama asijisikie vibaya na kuona mwanaye tumemtenga lakini niliposikia yamevuja, nilipata shida sana kuona waheshimiwa watanielewaje?” alisema Steve.

Hata hivyo, Steve alisema alishamsamehe mama Wema kwa kuvujisha video hiyo na sasa anaendelea na maisha yake kama kawaida kwani suala hilo limepita.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad