Vanessa Mdee Apata Baraka za Mchungaji Gwajima

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


#FreeVanessaMdee haijaishia kutrend kwenye midomo ya mashabiki na wasanii pamoja na kwenye mitandao ya kijamii peke yake, weekend hii.


Vee Money ameonekana kuwa special katika mastaa wote waliohusishwa na skendo ya madawa ya kulevya baada ya umma kuonesha kumtetea kwa nguvu zote. Muimbaji huyo pia amepata baraka toka kwa Mchungaji Gwajima ambaye tangu naye ahusishwe na biashara hiyo amekuwa akifurumisha series za mabomu dhidi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Akizungumza mbele ya waumini wa kanisa lake, Gwajima alisema:

Sasa hapo ndio najiuliza, polisi na uhamiaji waseme kwanini wanasuasua na kuna makosa niliyoyataja angalau saba ya jinai wakati wengine wamelala ndani kwa kuhisiwa tu wakiwemo wanamuziki kwa mfano Vanessa Mdee, amelala ndani tu alikuwa nje wakati sisi ametajwa naye ametajwa amerudi ndani leo siku ya tatu Vanessa Mdee leo yuko ndani kwa kuhisiwa tu, lakini huyu mpaka tumetaja Daudi Bashite yupo katorokaje? Huyu kakimbiaje? Vanessa Mdee simfahamu wala simjui lakini alikuwa ana performing zake nje ya nchi kashikwa pale yuko ndani leo, huyu katorokaje? Kwanini wengine wako ndani na wengine wanazunguka mitaa ya South Africa wakati walitakiwa wawe hapa na wao, mbona mimi nilienda kulala tu?
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Gwajima bahati yako ulishaachana na madawa,na ndio maana una jeuri.Kama kiongozi wa dini ulitakiwa kusaidia ili vijana wasiendelee kutumia kwa kutubu ukijitolea mfano wewe mwenyewe na kushawishi vijana kuachana na madawa, badala yake unatetea na kuwavunja moyo kwa nguvu kubwa wanaoendeleza harakati za kupinga madawa.
    Ukweli unayajua sana madawa ya kulevya na ndio yamekutajirisha.

    ReplyDelete

Top Post Ad