Alichokiema Gwajima Kuhusu Sakata la Kutekwa kwa Roma..Amtaja Bashite..!!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amezungumzia suala la utekwaji na kusema kuwa endapo watajaribu kumteka atapiga picha kwa kutumia simu yake kwanza na kutuma kwenye mitandao ya kijamii kisha ndipo ataondoka na watekaji hao.

Akizungumza kanisani kwake leo, Gwajima alisema  Mkuu wa Mkoa wa Dar es  Salaam ndiye anayejua alipokuwa mwanamuziki Roma Mkatoliki.

“Nampenda sana Rais wangu, lakini huyu Bashite analeta picha mbaya. Alisema atapatikana kabla ya Jumapili maana yake unayeee,” alisema
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad