FAIZA Ally Asema Anatarajia Mtoto wa Kiume...Atuonyesha Picha ya Tumbo Lake

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Mwanadada Faiza Ally aliye kuwa mke wa Mheshimiwa Joseph Mbilinyi anatarajia mtoto wa pili na mpenzi wake ambaye bado hajamueka mtandaoni wake wa Instagram.

Faiza ambaye amekuwa maarufu kutokana na mavazi yake ya kushtua hapo kitambo alitangaza kuwa ako mjamzito na mtoto wake wa pili kupitia mtandao wako wa Instagram huku pia akimsifu mwanae wa kwanza, Sasha kwa kuwa rafiki wake wa karibu.


Faiza Ally
Aliandika kwa kusema…

Sasha is so happy she is gonna have a baby brother … ameshampa jina la junior sasa namuuliza kwa nn junior? akasema eti there is boy at school his name is junior 😄😄 and she like him he is nice boy 😆😆😆 sijui ndio mkwe any way I have no choice dada ndio keshampa jina kaka yake @sashadesderia thank you for being my best friend 😘😘😘😘 love you my mwanangu u will be always my number 1
Hata hivyo mashabiki wake bado wanangoja Faiza Ally kumtambulisha mpenzi wake wa sasa.



----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad