Halima Mdee Afunguka Haya Mazito Kuhusu Askofu Gwajima...Amjibu Pia Kuhusu Kumtukana Spika Ndugai...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Dr. Josephat Gwajima jana  alijitokeza hadharani mbele ya waumini wa kanisa lake na kumtaka Halima Mdee Mbunge wa CHADEMA kumuomba radhi Spika wa Bunge Job Ndugai kwa maelezo kuwa alimtukana. Gwajima alisema, kama hatafanya hivyo, basi ataitumia Jumapili Ijayo 'kumchapa' Hadharani

 Kutokana na madai hayo, Halima Mdee amejitokeza hadharani na kumjibu Gwajima

"Namuheshimu sana Mch. Gwajima,sitajibizana nae kwenye mitandao. Niweke rekodi sawa sijamtukana na wala sitarajii kumkosea heshima Spika.

"Hayo ya J2 namwachia yeye! Yangu na yaliyojiri Bungeni.. Najua jinsi ya kuyahandle. Yawezekana yalishamalizwa kabla ya Ibada yake LEO."
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Attention ya siku hizi bongo ipo kwa watu 3 tu Magufuli,Bashite(Makonda)na mtu wa kuitwa Gwajima hao ndio wanao-headlines za magazeti ya bongo almost daily yaani ni full programed headache pure

    ReplyDelete
  2. Huyu ni MTZ au nini sababu TZ hatuna vinyago kama hivi aka the farce

    ReplyDelete

Top Post Ad