IMEFICHUKAA..Hii Hapa Ndio Sababu Kubwa ya Serikali Kumtimua Nchini Bosi wa UN...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Serikali imesema imefikia uamuzi wa kumuondoa nchini Mkurugenzi Mkazi wa UNDP Awa Dabo kwa sababu mbalimbali ikiwamo ya kutokuwa na maelewano mazuri na watumishi wenzake.

Taarifa iliyotolewa jana na kitengo cha Mawasiliano cha Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki inasema maelewano hayo mabaya na watumishi wenzake yalizorotesha utendaji kazi wa shirika hilo.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad