Jamaa Aliyekufa Miaka 14 Iliyopita Afufuka na Kusimulia Maisha Aliyokutana Nayo Alipokuwa..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Anaitwa Hassan Mga kijana kutokea Mbeya, anadai mwaka 2003akiwa darasa la tatu alichukuliwa msukule na baada ya kuumwa vikali kichwa na kupelekwa hospitali na mwishowe 'kufa' kimsukule

Anadai uliyechukuliwa msukule huwa anaona yanavyofanyika mazishi yake lakini wao hawaomuoni na hawezi kuongea nao

Alidai walichukuliwa na kwenda kutumikishwa bandarini kupakua makontena mizigo, chakula walichokuwa wakila ilikuwa ni nyama mbichi, pumba na unga uliokorogwa...walikuwa hawanywi maji ila damu

Ila kuna siku alilishwa chakula ambacho hawaruhusiwi kula huko(ubwabwa anadai) ndipo akaibuka dunia hii sehemu ambayo haifahamu na watu kumkimbia na alipata wakati mgumu watukumuelewa...ilaalifanyiwa maombi kanisani ndipo akaweza kuongea na kurudia kawaida
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. HIZO KIKI ZA KANISA.MUOMBEENI ALIYEKUFA UBATIZIONI ARUDI

    ReplyDelete

Top Post Ad