Je..Sababu Mojawapo ya Makamanda wa CHADEMA 'Kummiss' Kikwete ni Hii Hapa..!!!?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Juzi Rais wa zamani JK alipoenda Bungeni inasemekana alishangiliwa zaidi na Makamanda wa Chadema, kuliko hata Wabunge wa CCM tafsiri nyingi sana zimetolewa ku justify kitendo hicho na hii ya kuitwa itwa Ikulu kupata Chai na Juice, inatajwa kuwa ni mojawapo ukizingatia kwamba Rais wa sasa ameshasema kwamba ni wakati wa kazi tu sio kukaa kaa na kucheka cheka na kunywa Juice ikiwa ni pamoja na kubana matumizi,

By Lemutuz
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hawana lolote unafiki tu unawasumbua, hao CHADEMA si ndio waliokuwa wakimsema kila uchao

    ReplyDelete
  2. LWMUTUS UMENIKOSHA MDOGO WA KUKAYA. MILIMO DU ILIBAHA. MKULU AKUTYA. HAPA KAZI TU. UMENENA WA MWETU.

    ReplyDelete

Top Post Ad