KIMENUKAA..Steve Nyerere Aamsha Mengine Kuhusu Wema Sepetu na Mama Yake Kujiunga na Chadema..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Msanii wa filamu nchini Steve Nyerere amefunguka na kuweka wazi kuwa yeye na Wema Sepetu hawana tatizo lolote na kudai yule ni dada yake hivyo wanaheshimiana na kuendelea kuishi kama zamani licha ya Wema Sepetu kuhama Chama Cha Mapinduzi (CCM)

Steve Nyerere amesema hayo kwenye kipindi cha eNewz na kusema ni kweli kulikuwa na matatizo hapo nyuma lakini matatizo hayo siyo sababu wao kuharibu undugu wao na urafiki wao, hivyo ule ulikuwa ni upepo na umepita kwa sasa wanaendelea kuishi kama zamani. 

"Wema hawezi kuwa adui yangu Wema ni rafiki yangu, Wema ni ndugu yangu hivyo yeye kuhama chama na kuhamia CHADEMA si kubadilisha urafiki, na kuhusu matatizo na Mama Wema yule ni mama yangu kwa hiyo yaliyopita si ndwele tugange yajayo, mimi na wewe ni ndugu yangu kabisa na tumeshakutana mara kwa mara baada ya yale kutokea na maisha yanaendelea. Wema na mama yake ni ndugu zangu wale siwezi kuwatupa sijakosana na mtu Wema ni dada yangu, rafiki yangu kipenzi na mama ni mama yangu mzazi yale yalipita ule ni upepo tu" alisisitiza Steve Nyerere 
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad