Kudadeki..Mbwana Samatta Anunua Gari Hili Kama la Ronaldo wa Real Madrid..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mtanzania Mbwana Samatta anayeichezea KRC Genk ya Ubelgiji leo April 15 2017 amepost tofauti tofauti zikimuonesha akiwa na gari aina ya Mercedes Benz, Samatta ambaye kwa sasa anaishi Ubelgiji kutokana na kufanya kazi na KRC Genk nchini humo amepost picha gari hiyo bila maelezo mengi.

Inawezekana ikawa ni gari lake jipya ameamua kuliweka hadharani kupitia ukurasa wake wa instagram


.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Msituzingue hiyo picha ya mwanzo mliotuletea ni tofauti na hiyo gari anayotia mafuta.

    ReplyDelete

Top Post Ad