Mb Doggy Awachana Kina Diamond, Kiba...!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


MSANII mkongwe kwenye Bongo Fleva, aliyewahi kutamba na ngoma za Latifa, Si ulinambia, Mapenzi Kitu Gani na nyingine nyingi, Mbwana Ali ‘Mb Dogg’ amesema ujio wake mpya anaojiandaa kuutoa hivi karibuni utawadhihirishia mashabiki wa muziki nchini kuwa yeye ndiye mfalme wa Bongo Fleva na si mahasimu wawili, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ wala Ali Salehe ‘Ali Kiba’.

Akipiga story na Uwazi Showbiz, alisema sababu za kupotea kwenye gemu kwa miaka mingi si kwamba hawezi au alishindwa kuendana na kasi ya vijana walioibuka na kufanya vizuri lakini ni kwa sababu za kimaisha na sasa amejipanga vyema kurudi kwa kishindo.

“Mashabiki wa muziki nchini wanaelewa Mb Dogg ni nani, mimi ndiye mfalme wa Bongo Fleva, nilikuwepo kabla ya akina Diamond na Kiba hawajaanza kuimba, sasa mwenye nyumba karudi na wapangaji wakae tayari, ujio wangu unaitwa Mabinti nimefanyia pale kwa Man Walter,” alimaliza Mb Dogg
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad