POLEPOLE Afunguka ya Moyoni Kuhusu Samatta..Afichua Kuwa Yeye ni Yanga Damudamu..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Katibu wa itikadi, siasa na uenezi wa chama cha mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amemtaja mshambuliaji wa RCK Genk, Mbwana Samatta kama mwanasoka pekee anayemvutia hapa nchini.

Akizungumza katika mahojiano maalum katika ofisi za gazeti la Mwananchi, Tabata Relini,  Polepole alisema juhudi za Samatta ambaye ni nahodha wa timu ya taifa,  Taifa Stars ndizo zinazofanya avutiwe naye.

"Napenda kuona vijana wetu wanapata mafanikio kwenye soka hivyo mchezaji wa soka ambaye ninampenda ni Mbwana Samatta.

Huyo tu kwa upande wangu ndiye anatosha kwa ndani na nje ya nchi na hakuna mwingine anayenivutia zaidi yake," alisema Polepole.

Polepole alifichua kuwa yeye ni shabiki wa kutupwa wa klabu ya Yanga.

Credit - mwananchi
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad