Siku Kadhaa Baada ya Rais Magufuli Kumpigia Simu..Mwana FA Afunguka Haya Mengine Yaliyojiri Baada ya Simu Kutoka kwa Rais..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


BAADA ya Rais Dk. John Magufuli kumpigia msanii Mwana FA na kupongeza wimbo wake, msanii huyo amesema ameguswa sana baada ya kupokea simu hiyo.

Mapema wiki hii, Mwana FA alipigiwa simu na Rais na kumpongeza kwa kufanya vizuri katika nyimbo zake ukiwemo unaotamba ‘Dume Suruali’ na kusisitiza huwa anazisikiliza sana.

Mwana FA amesema kuwa baada ya kupokea simu hiyo ameguswa sana na imempa kuzidi kujiamini kwa kazi anazozifanya.

“Ukweli simu yake imenigusa sana, unajua unapoona hata viongozi wanapenda kazi zako ujue unakubalika sana, simu yake imenifanya nione bado nina jukumu la kuzidi kufanya kazi nzuri zaidi ya hapa,” alisema Mwana FA.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad