VIDEO: “Sinema Zetu Zina Mapungufu Mengi Lakini Hiyo Sio Sababu za Kuacha Kudai Haki zetu” – JB

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Siku chache baada ya mastaa wa Bongo movie kuandamana hadi Kariakoo wakitaka filamu za kigeni zizuiliwe nchini, kumeibuka hoja mbalimbali huku watu wengi wakioneshwa kutofurahia uamuzi huo.

Mastaa hao wa Bongo movie wakiongozwa na staa wa muda mrefu Jacob Stephen ‘JB’ wamedai kuwa kufanya hivyo ni kutokana na ukweli kwamba wanataka kuzipa nafasi zaidi filamu za Tanzania.

Kutokaka na kukosolewa kwa kitendo hicho na wadau mbalimbali nchini JB ametumia account yake ya Instagram kutoa ufafanuzi zaidi ambapo moja ya mambo aliyoyagusia ni kuwataka watu kutohusisha kila kitu na siasa akisema pia kuwa kwenye shida hatojali nani anamsaidia alimradi anagusa maslahi yake.

Bonyeza play kutazama hapa chini…
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad