AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Dar es Salaam. Mchungaji wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema hatakufa hadi pale atakapotimiza lile lililomleta duniani. Ameyasema hayo leo wakati wa ibada ya Jumapili kanisani kwake ikiwa ni siku chache baada ya mhubiri mmoja wa kimataifa kutabiri kuwa Gwajima atakufa ifikapo 2018. “Mungu ndiye anajua siku saa na dakika ya kufa kwangu si mwanadamu,” amesema Gwajima.
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK