Bosi wa ACACIA Atoboa Siri, ya Mikataba ya Madini Waliosaini na Serikali ..Ni Baada ya Ripoti ya Mchanga Kutua kwa JPM..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mnamo tarehe 12 mwezi Machi mwaka huu, Mwandishi Jon Yeomans wa gazeti la telegraph la nchini Uingereza alifanya mahojiano na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Uchimbaji Madini ya ACACIA, Brad Gordon.

Pamoja na mambo mengine, Mtendaji Mkuu huyo wa ACACIA alisema kwa kukiri kuwa mikataba/makubaliano kuhusu uchimbaji wa madini pamoja na kuwa ya kisheria lakini hayakuwa ya usawa.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hili kwanza la mikataba hiyo ya madini. kwamba ni mibovu haiko sawa Tanzania inaibiwa. kiujumla bara lote la Africa ndio hivyo hivyo. limezungumziwa sana hilo swala na hiyo compuni ya wacanada wanavyowakomba nchi masikini na kupeleka utajili kwenye nchi yao. Lakini ya yote ni ubovu wa Viongozi wazembe na wenye upungufu wa 1Q. ndivyo wanavyosema INTEGENT Qurity kwa wafrica ni ndogo. hao wanaojita Viongozi sidhani kama akili zao zinafanya kazi vizuri katika bara hili na Tanzania kiujumla

    ReplyDelete

Top Post Ad