FAHAMU Rangi za Mashuka na Maana Yake Pindi Unapokuwa na Mpenzi Wako Chumbani..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Tafsiri ya Shhuka Kitandani kwa mwanamke inamaana Kubwa sana kwa mwanaume hasa wale walio katika mahusiano ,leo tuangalie jinsi shuka za rangi zinavyoweza kubeba ujumbe wa kimapenzi kwa mume wako au mpenzi wako

TUANZE NA SHUKA NYEUPE

,au la cream
Shuka hili maana yake ni kwamba Mumewangu Leo nimejiandaa vya kutosha.......nimekamilika kila idara wewe tu uje mpenzi ujilie vyako......yaani ukiweka hili haswa hii siku ya shughuli uwanjani

Shuka jekundu............
Mumewangu Niko Tayari kukupa mambo..........but tukae tuongee kwanza kwani mwenzako hali si shwari Leo......Niko kwenye siku za hatari......ukikosea tu utanipa ujauzito ilhali hatujajiandaa kupata mtoto kwasasa......shuka hili tumia siku za hatari

Shuka jeusi au la rangi udongo..
.Mumewangu Leo lisijikii kabisa........tulale tu nimechoka sana Leo tusifanye kabisa

Shuka la Kijani......blue bahari.....au green apple'au blue
Mumewangu Niko radhi najisikia hamu Leo tujiachie baby Tena Niko kwenye siku nzuri za kupata ujauzito......baby Leo mechi ieleweke kwani tukicheza vizuri Leo ntapata ujauzito

Shuka la pink au orange
Baby sijisikiii,naumwa Leo tusifanye kabisa naumwa mpenzi .....tukumbatiane tu 

Shuka la njano
Baby umenikosea........Nina hasira Leo sikosawa........nitake radhi yaishe tuendelee kuenjoy penzi letu

Shuka la zambarau
Baby naomba unisamehe najuta kwakosa nlilokufanyia.....

Shuka la mchanganyiko wa ranginyingi yaani rangizaidi ya tatu zikiwa kwenye shuka moja
Baby Leo naomba tufanyiane USAFi.......hapo ni siku unayoona kichaka chahitaji jambia cjui tumeelewana.....

Tutazidi kueleweshana kadri tutavyojaaliwa kwaleo tuishie hapa

KUMBUKA
Si shuka zote zina maana.....waweza weka tu ukiwa huna maana yoyote,ila kwawadada waliofundwa,ni vema kufanya mamboyao tofauti na wasungo,pia waweza mfunda mumeo ili ukimwekea shuka Fulani isimlazimu mazungumzo basi yawe ni mahojiano na utekelezaji tu wa kile shuka inachosema..
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad