JACK Wolper “Kwenye Maisha Yangu Sijawahi Kuachwa, Sina Kabisa Record Hiyo"

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Msanii wa filamu Jacqueline Wolper amefunguka kuizungumzia ishu ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake, Harmonize.

Muigizaji huyo amedai hana msongo wa mawazo kutokana na tukio hilo huku akidai hajaachwa kama baadhi ya watu kwenye mitandao wanavyodai.

“Kuachwa ndio nini? kweli ulilolijua ni kama usiku wa giza,” Wolper alikiambia kipindi cha U Heard cha Clouds FM. “Kwenye maisha yangu sijawahi kuachwa, sina kabisa record hiyo sema sitakagi kufanywa mjinga. Yeye kama amezungumza ishu ya kuachana na mimi, mimi sitaki kulizungumzia kwa sababu na mambo yangu mengi ya umuhimu nafanya,”

Harmonize hivi karibuni alifunguka na kuweka wazi kwamba hayupo tena kwenye mahusiano ya mrembo huyo kutoka tasnia ya filamu huku akishindwa kueleza sababu.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kwani Yule mkongo aliyekuvisha Pete ulimwacha au alikuacha????

    ReplyDelete
  2. Kwani Yule mkongo aliyekuvisha Pete ulimwacha au alikuacha????

    ReplyDelete
  3. huachwi umezidi nini tunayajua na wewe unayajua na unajijua mama mtu mzima huna haya umwachwa tena umeachwa he he he ..... tunayajua mengi tu umesha zoea leo huyu kesho yule jirekibishe dada au ya mange ni kweli?

    ReplyDelete
  4. Mmmmmh. BI shoga apo umechemsha, Kila siku waachwa, alafu unajisifu hujawahi kuachwa, jiangalie mwanamama la sivyo utaendelea kupigwa mpila wa danadana weeeee!!!!! Mpka, alafu ukaja juta

    ReplyDelete

Top Post Ad