LIPUMBA - Mimi ni Shabiki wa Arsenal Japo Haifanyi Vizuri..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Ukiacha masuala ya kisiasa na ukamuuliza swali Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) taifa, Prof. Ibrahim kuwa ni shabiki wa Klabu gani ya mpira wa miguu Duniani, bila kupapasa macho atakujibu ni Arsenal.

Lipumba amesema yeye ni shabiki wa kutupwa wa Arsenal, licha ya klabu hiyo ya England kutotwaa mataji makubwa kwa muda mrefu lakini bado haipunguzi mapenzi yake kwa klabu hiyo ya Ligi kuu England.

“Naishabikia Arsenal japo kuwa haifanyi vizuri, lakini ndio timu yangu ninayoipenda,”Alijibu Prof. Lipumba kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV leo asubuhi alipoulizwa ni klabu gani ya mpira wa miguu anaishabikia.

Lipumba pia aliendelea kujinadi kwa kusema, ameshawahi kusukuma kabumbu miaka ya nyuma wakati akiwa mwanafunzi wa shule ya sekondari “ Nimeshawahi kucheza mpira kipindi wakati nasoma sekondari, lakini sio katika ngazi ya ushindani,”.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad