MBUNGE: Diamond Anadaiwa Milioni 400 Na TRA..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mbunge wa Kinondoni, Maulid Mtulia ameliambia Bunge kuwa msanii wa muziki wa kizazi kipya, Nassib Abdul ‘Diamond Platinumz’, anadaiwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) zaidi ya Sh. milioni 400.

Mbunge huyo aliyasema hayo bungeni jana wakati wa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Amesema Wilaya ya Kinondoni ina wasanii wengi maarufu na wamekuwa wakitoa mchango mkubwa katika ukuaji wa uchumi wa nchi kutokana na mauzo ya kazi zao na kwamba Diamond Platinumz amemueleza kuwa kwa sasa anadaiwa kodi ya zaidi ya Sh. milioni 400.

Naiomba serikali kuhakikisha inaimarisha mapambano dhidi ya wizi wa kazi zao badala ya kutilia mkazo kwenye ukusanyaji wa kodi pekee kwani msanii huyo na wenzake wanaingiza kiasi kikubwa cha fedha kutokana na kazi zao za sanaa,

Akizungumzia suala hilo, Mkurugenzi wa Elimu na Huduma kwa Walipakodi wa TRA, Richard Kayombo amesema suala hilo liko kwenye uchunguzi.

“Hilo liko kwenye hatua ambayo hatuwezi kulizungumzia kwenye vyombo vya habari. Liko katika ‘investigation’ (uchunguzi),” amesema
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. eti liko kwenye uchunguzi subirini tu itakuwa hayo hayo ya bashite

    ReplyDelete
  2. Mmmh kumekucha Mr chibu

    ReplyDelete
  3. ndo maana siku hizi hana mishauo, kumbeeI

    ReplyDelete
  4. ataanza kuuza nyumba alizojenga kwa mbwembwe. na yule Klny ashatoa mimba ya Domo na kachukuliwa na mwanarabu. kastuka!

    ReplyDelete
  5. alijifanya yeye Mungu mtu, kiko wapi? awaambie washirikina wenzie wamchangie.

    ReplyDelete
    Replies
    1. kwani kawaomba mmchangie mpaka mnatokwa na mapovuuuu????

      Delete

Top Post Ad