UKWELI ni Kwamba ...Naona Future Nzuri kwa Lazaro Nyarando, Mbunge wa Singida Kaskazini..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


"SIASA HAINA ADUI WALA RAFIKI WA KUDUMU".
"SIASA HAINA MWENYEWE"

Mbunge wa Singida Kaskazini, Mh Lazaro Nyarandu amekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii kipindi cha awamu ya nne ya Mh Jakaya Kikwete. Aidha, hajabahatika kurudi kwenye Baraza la Mawaziri kipindi hiki cha awamu ya tano, awamu ya Dk John Pombe Magufuli.

Tukio la ajali ya wanafunzi wa shule ya Vicent Lucky ya jijini Arusha iliyopelekea vifo vya wanafunzi 33 na walimu 2 imemfanya Mh Nyarandu kupambana sana kuhakikisha majeruhi wanaenda kutibia Marekani kupitia mtandao wake wa marafiki alio nao huko ambao pia wapo hapa nchini kwa ajili yan utalii.

Mh Nyarandu ameonekana mstari wa mbele sana kuhakikisha anawalink majeruhi hawa, serikali ya Tz na hao wafadhiri ili kuhakikisha wanafunzi hao wanaenda kupatiwa matibabu nchini marekani kwa kiwango cha hali ya juu sana. hiki siyo kitu kidogo kwa mwanasiasa kufanya jitihada hizi.

Namwombea mema Mh Lazaro Nyarandu
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hayo ni mambo ya uduma za jamii. Na jamii ni kubwa. kwa hilo alilofanya ni sawa. anasaidia jamii yake inayomzunguka hapo na isishie kwa watoto hao tu. hata wazee.vijana wanapopata matizo wanaitaji msaada pia. Sio sasa siasa. Misaada na uwajibikaji Serikalini ni vitu viwili tofauti. Watu wengine wakiwekwa kwenye posion furani furani serikalini ni Corruption tupu. angalau labda ataweza kuitumikia jamii inayomzunguka lakini sio Taifa

    ReplyDelete

Top Post Ad