AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA
Nisher amefunguka hayo baada ya maswali mengi mtaani kuzagaa kwa kipindi kirefu kwa nini anatumia rangi nyeusi, kwa kudai kwamba video ni kama nguo ikivaliwa leo kesho itapumzishwa hivyo yeye kuweka rangi nyeusi ni kubadilisha mionekano ya rangi za video kama ilivyokuwa imezoeleka hapo awali.
Picha ya wimbo wa weusi 'Gere' aliouongoza Nisher.
"Kutumia elimu kwenye tasnia ya video ni nzur kwa sababu inakufanya uwe smart kuanzia kwenye makubaliano ya kazi mpaka ufanyaji wake. Siyo mbaya mtu kutumia kipaji chako cha mtaani lakini ukichanganya na suala la emu lazima mtu atakuwa anakeheshimu jinsi ambavyo unaifanya kazi yako" - Nisher aliongeza.
Akizungumzia kuhusu wimbi la waongozaji video kuongezeka kila Siku Nisher amesema "Ma- directors wanavyoongezeka kila siku ni tafsiri ya kuwa industry yetu imekua, suala la kusema huyu hajui siyo tatizo kwa kuwa hata mtoto anapokuwa anakua kuna mambo anakuwa anakosea mpaka anakuwa mtu mzima. Hivyo ma director wachanga nao wakikosea siyo dhambi kwani na wao wanahitaji muda wa kujifunza zaidi".
Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu
Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:
NAFASI ZA AJIRA
JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA
GOODLUCK