Ahh..Yanga Kama Simba Tu..Yanyolewa kwa Mikwaju ya Penalti na AFC Leopards ya Kenya..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Yanga imetupwa nje ya michuano ya Kombe la SportsPesa Super Cup. Sasa inaifuata Simba kupumzika "nyumbani" baada ya juzi nayo kutolewa kwa Nakuru All Stars kwa mikwaju 5-4 ya penalti.

Katika mechi hiyo ya leo kwenye Uwanja wa Uhuru, Yanga imetupwa nje baada ya kuchapwa na AFC Leopards kwa mabao 4-2 kwa mikwaju ya penalti baada ya dakika 90 kwa suluhu.

Kiungo Said Juma Makapu na kinda Said Mussa ndiyo waliopoteza mikwaju ya penalti baada ya nahodha Nadir Haroub ‘Cannavaro’ na Obrey Chirwa kufunga.

Wakenya walionekana ni watulivu katika upigaji wa mikwaju ya penalti.

Maana yake sasa, bingwa wa michuano hiyo lazima atatokea nchini Kenya.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Naona heshima imerudi mjini, tutaheshimiana sasa

    ReplyDelete

Top Post Ad