DINI ya Kiislam Yenye Mfumo wa Kilokole Yaja

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Gazeti la Jibu Limeandika:

Watakuwa wanaswali jumapili

Watakuwa wanaswali kwa sauti za juu

Lengo ni kuwaslimisha wakristo
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Uislamu mungu Alisha ahidi ataulinda ndio maana qurain tukufu mpaka sasa haijawahi kuingizwa maneno mapya .hiyo ni dalili tosha ya ahadi ya Allah .vitabu vingine tumeona vimeingizwa maneno ambayo si ya mungu .hao walioanzisha hilo si waislamu ila ni wapotoshaji wa uislam.mtume s.a.w aliwahi sema itafika kipindi watu watauona usilamu kama kitu cha ajabu .ndio hayo ya kuswali j2,kujilipua,ugaidi ila maneno ya mtume yalikuwa yakimaanisha watatokea watu nakufanya propaganda juu ya uislamu ili uonekane wa ajabu .hili la kuswali j2 si mafundisho ya waislamu ila mafundisho ya wapotoshaji wa uislamu .uislamu utasimama mpaka kiama

    ReplyDelete

Top Post Ad