Hii Ndio Ndinga Anayomiliki Harmorapa

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Harmorapa sio mtu wa mchezo mchezo, unafahamu gari analolimiliki?

Kupitia kipindi cha Top 20 cha EA Radio, rapper huyo amesema kuwa anamiliki ndinga aina ya Nissan Morano na mwaka jana meneja wake ndio aliyempeleka katika shule kwa ajili ya kujifunza udereva.

“Mwaka jana nilipotoa ngoma yangu ‘Usigawe Pasi’ bosi wangu akaniambia naona ipo siku utakuwa staa hivyo akanisaidia kunipeleka driving school ilinijifunze kuendesha gari. Nashukuru Mungu sasa najua na naendesha gari ya Nissan Morano,” amesema Harmo.

“Pale home kuna magari mengi tu ndio maana naendesha tofauti tofauti, ila hilo la Nissan Morano ndiyo alilonipa kama zawadi Meneja wangu mwaka jana,” ameongeza.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad