Kumbukumbu: Ni Kipi Kiliwafanya Barrick(Acacia) Kumpa Mkapa Kinyago cha Dhahabu..!!!?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Wakati akiwa madarakani alipotembelea mojawapo ya mgodi wa Barick gold mine alipewa kinyago cha dhahabu. Ni kipi kiliwafanya Barick kumpa zawadi ile ya kinyago cha dhahabu Mkuu? Je Mkulu aliwafanyia nini hawa jamaa mpaka wakampa zawadi ya thamani kiasi hicho?

Tuache siasa tuongee ukweli tupu.

Chanzo JF
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Ndio Rushwa zenyewe, viongozi wengi wa bara hili, wanadanganywa kwa turushwa rushwa tudogo TU, twa mifukoni na kuacha uchumi WAO ukiteketea kwa kuibiwa. Mwisho wa siku wanaonekana ni wajinga. Na akili zao ni fupi na kuishia kuitwa nchi masikini. ZA dunia ya tatu.

    ReplyDelete
  2. Zawadi yeyote anayopewa Mkuu wa nchi anapokuwa Madarakani inakuwa ni kumbu kumbu ya Nchi na inawekwa State house with a small discription wereby inakuwa ni Historia ya uongozi wa Taifa katika jumba la Taifa.
    Na hii zawadi unayoizungumzia iko Ikulu na Magufuli kwa sasa ndiye Custodian.
    na kama Benjamini aliichukua kuisafisha vumbi .Basi tafadhali Haraka sana irudishe mahali pake.

    ReplyDelete

Top Post Ad