Kwanini Uislamu Unawanyanyapaa Wanawake Wakiwa Kwenye Hedhi?

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Asalam aleykum ndugu zangu hongereni kwa kuamua kutimiza nguzo muhimu ya uislam na kufunga mwezi mtukufu.

Kuna jambo huwa linanichanganga tangu nikiwa mtoto juu ya dini yetu hii ya kweli.

Inakuwaje Mungu ampe mwanamke mzunguko wa hedhi kila mwezi halafu atoe mashariti ya mwanamke huyo kutoshika kitabu chake yaani Quran? Kuna uhusiano gani hapo? Kwa maana hutakiwi kumuabudu Mungu ukiwa kwenye hali hii? Hadi kufunga hutakiwi?

Haaa yaani hadi Mungu anatutenga wanadamu itakuwaje??

Uhusiano hapo uko wapi hedhi na kushika Qurani na kuswali jamaa??
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Alipoweka Nukta Mwenyezi Mungu wewe unaweka kiulizo?
    Unaswali/Funga kwa sababu umeamrishwa kuswali/Kufunga. Ikiwa mwenyewe amekupa ruhusa kuto kuswali/kufunga wakati wa hedhi/ugonjwa, tatizo lako lipi?

    ReplyDelete
  2. Acha Ujinga huo, hebu kasome ufahamu, hakuna jambo aliloamrisha Allah na likawa halina manufaa kwa mwanadam...
    Nikuulize suali, kwanini ukiambiwa na wazungu simu usiweke kwenye maji, au usipokee simu ikiwa kwenye chaji n.k mbn huyafanyi au huulizi kwan yanahusiana vipi maji na simu???
    Kasome kwanza kisha ndo uropoke

    ReplyDelete

Top Post Ad