Lissu: 95% ya Madini Yetu Yanaibiwa Hapa Nchini, Magufuli Amekomaa na 5% Sababu tu Yanatoka Nje..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Tundu Lissu amesema rais anamiinisha watu uongo na ripoti ya Profesa Mruma ni takataka ambayohaitamaliza hata dk. 15 mahakamani.

Amesema makontena yaliyoshikiliwa bandarini yana 5% pekee ya dhahabu yetu na 95% ya dhahabu wana extract mgodini na ndipo wanapotuibia lakini Magufulihajaona kama tunaibiwa kwa sababu tu wana extract mchanga nchini
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad