Lowassa Awajibu Wanaomtuhumu Kutovaa Sare za CHADEMA, Asema Ahukumiwe kwa Matendo Yake..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Aliyekuwa mgombea wa Urais 2015 kwa tiketi ya CHADEMA na waziri mkuu mstaafu Mzee Edward Lowassa amesema si kweli kuwa havai sare za CHADEMA, na pia asihukumiwe kwa kuvaa au kutokuvaa sare hizo bali kwa matendo yake.

Waziri Mkuu huyu mstaafu tokea ajiunge na chama cha kikuu cha upinzani Tanzania amekuwa akituhumiwa na wanachama na wengine nje ya chama kwa kutokuvaa kabisa sare za chama maarufu kama gwanda.

----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwenyewe anajijua kwamba yupo-yupo tu hapo chadema, anaweza kusepa wakati wowote kama alichokifuata akikikosa

    ReplyDelete

Top Post Ad