Mourinho - Madrid Nipeni Morata Niwape De Gea Wenu..!!!

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA


Mvutano kati ya Manchester United na Real Madrid kuhusu David De Gea umeanza upya, ambapo Madrid wanamtaka De Gea kwa nguvu zote huku United hawako tayari kumruhusu De Gea aondoke United.

Taarifa zinaeleza kuwa wiki iliyopita klabu ya Manchester United iliitolea nje ofa ya Real Madrid ya thamani ya zaidi ya £50m na kuwataka Madrid waende wakajipange zaidi.

Kufuatia kasi kubwa ya Madrid ya kumtaka mlinda mlango huyo, Meneja wa Man United, Jose Mourinho kwa kuwa wana kipa mwingine mzuri, Sergio Romero, ameamua kuwapa Real Madrid ofa ili wampate David De Gea huku akiwapa masharti.

Mourinho amewataka Real Madrid kutoa kiasi cha £22m pamoja na mchezaji Alvaro Morata ili kumruhusu De Gea ajiunge Real Madrid.

Mourinho amesema kama Real Madrid watatoa kiasi hicho cha pesa pamoja na Morata ambaye hapewi sana namba katika kikosi cha Madrid, atakuwa tayari kumuacha De Gea aondoke.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad