Sioni Aibu Kuolewa na Mwanaume Niliyemzidi Miaka 7 – Riyama

 AJIRA ZA UHAKIKA NJE NJE, BONYEZA HAPA

Riyama Ally na Mchumba wake
Muigiza wa Filamu nchini, Riyana Ally na mumewe ambaye ni msanii wa Bongo Fleva, Leo Mysterio wamesema hawaoni aibu kuishi pamoja kisa umri.


Wakizungumza katika kipindi cha Twenzetu cha Times FM, Riyama amesema yeye binafsi haoni aibu wala hana hofu kuolewa na mwanaume ambaye yeye amemzidi umri zaidi ya miaka saba. Kwa upande wake Leo Mysterio ameeleza wakati anataka kumuoa Riyama alisemwa sana na kukosolewa vikali.

Eti kwa sababu umri ni mkubwa lakini kwa sababu sisi ni watu wa dini haikua kazi kumaliza swala la ndoa. Niliwahi kutoa wimbo maalum kwa ajili ya Riyama na ilinitoka moyoni kabisa kitu ambacho kiliwashangaza wengi,” amesema Leo Mysterio.
----

Utamu wa audio book ya SIRI YA PADRE NA MKE WANGU hauna mfano, sikiliza Sehemu ya 1 bure, Sehemu ya 2 Tsh 2000 tu

Nusu ya mapato ni kwa ajili ya wagonjwa wasiojiweza, Lipia uburudike huku ukitoa sadaka Safi,ni www.makapedia.com au bofya kitabu hapo chini:



 

-------------------

NAFASI ZA AJIRA 

JIUNGE NA AJIRA YAKO TELEGRAM GROUP HAPA

INTERNSHIP VACANCIES

GOVERNMENT VACANCIES

NGO'S VACANCIES 

GOODLUCK

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad